Thursday, February 9, 2012

Profesa Jay, the heavy weight MC

mjengo wa Profesa bana.
Prof Jay pande flani za Kenya hivi
Prof. Jay & Jose Chamilion

Mr Thomas @ HomeTown Records, sound eng.


in the building sun ! home sweet hometown

Mr Thomas


Gambe time


Mr Thomas&Nahreel

Jamaa flani pale HomeTown Records bana


Travella

kwenye kibench flani pale nyuma pale

majani&Lamar

kama kawaida kwa matoziiii !!!!!!!!!!!!

nyangema jinsi anavyendeleza ukuaji wake wa mwili

ADAM MCHOMVU mkali wa mjengoni pale kati pale

kitu cha arusha aisee



kazini jombaa

Adam&Gadner





HAPO VIPI WADADA? BURUDANI AU SIO ?

mdada akiwa anafanya mambo kidogo. hii service bongo hakuna aisee

JE WEWE WA KIUME UNGENAWA SINK LIPI?


Kuna mambo duniani jamani, hii kitu iko kwenye hotel moja ya gharama kidogo huko duniani
 aisee.

Wednesday, February 8, 2012

Tanzania Duniani tupo !!!!!!!


Ally Kiba
Nahreel

Mkali wa mabiti Tanzana "Nahreel"

kuna wengi wasiojua sura ya mkali huyu wa kutengeneza bits za ajabu na zinazokonga mioyo
ya wasanii wengi barani Africa. ametoa mdundo mpya kwa Nicki wa Pili ambao kwa hakika
ni level za mbele. kutana na mkali huyu katika studio za HomeTown Records. sina mengi ya
umbea ila unajua nini huwa mkali huyu hufanya kwa mashabiki wake na kwa wasanii.

A new recording label in Tanzania !



you are welcome in this blog. this is part of Hometown Records which is the audio and video studio. we do record any kind of audio and we do record a moving pictures as well.

welcome to this blog as you are going to benefit alot from this blog.


WELCOMING NOTE.

 all the artist,presenters,mashabiki and producers, this is your field of

opinions about intertainment industry.

HomeTown Records
Dar es Salaam
Tanzania