Wednesday, February 8, 2012

Mkali wa mabiti Tanzana "Nahreel"

kuna wengi wasiojua sura ya mkali huyu wa kutengeneza bits za ajabu na zinazokonga mioyo
ya wasanii wengi barani Africa. ametoa mdundo mpya kwa Nicki wa Pili ambao kwa hakika
ni level za mbele. kutana na mkali huyu katika studio za HomeTown Records. sina mengi ya
umbea ila unajua nini huwa mkali huyu hufanya kwa mashabiki wake na kwa wasanii.

No comments:

Post a Comment